ADVERTISEMENT
Watoa huduma kwenye Migodi ya Madini katika Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga wameipongeza Serikali kwa usimamizi mzuri wa Sekta ya Madini hali iliyopelekea watanzania wengi kushiriki katika sekta hiyo kupitia utoaji wa huduma na kasi ya uboreshaji wa huduma za jamii unaofanywa na kuleta tija zaidi kwa Maendeleo ya Taifa Kiujumla.
ADVERTISEMENT