
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Omar Shaaban (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela tuzo ya Mkurugenzi Mtendaji (CEO/MD) Bora wa Mwaka 2022 Tanzania katika tuzo za The Top 100 Executive Awards
@top100executiveslist. Pamoja nao katika picha ni kutoka Tanzania Instute of Managers @tanzaniainstituteofmanagers ambao ni Mwanzilishi mwenza (Co – founder) Deo John (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji, Alex Shayo (Kulia).

Katika tuzo hizi zilizofanyika tarehe 27 Novemba 2022 katika ukumbi wa Mlimani City, Benki hio imetoa viongozi bora watatu kwa mwaka huu kama ifuatavyo;



Benki ya CRDB Inawapongeza wote kwa kutunukiwa tuzo hizo za utendaji Bora na Kujivunia Utendaji wao.



