
Kampuni ya Mawasiliano nchin, Tigo Tanzania imefanya droo ya 6 ya Wakishua Twenzetu Qatar na Hisense. Baada ya kuchezesha droo hio wamepatikana washindi wengine 7 wa safari ya kwenda Qatar kuangalia Kombe la Dunia la FIFA 2022 pamoja na washindi 2 wa vifaa vya nyumbani vya hisense. Hivyo iliwapigia simu kuwataarifu ushindi wao
Imeoneza zaidi kwa kusema “Kumbuka safari imelipiwa kila kitu kwenda na kurudi 
, Siku 4
,Hoteli
, Pesa ya kujikimu (Pocket Money).




MPAKA sasa imepata jumla ya washindi 42 (kupitia Washindi 7@ kila wiki)
Jumla ya washindi 50 watapatikana kwenda Qatar kuangalia kombe la dunia, inakuzuja pia kama mtumiaji wa Huduma ya Kampuni hio kufanyia Mawasiliano kuwa bado unayo nafasi endelea kufanya miamala ya Tigo Pesa uingie kwenye droo ijayo

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT