Baada ya klabu ya Yanga SC kusaini mkataba wa makubaliano na Shirika la Kuhudumia Watoto UNICEF juu ya uhamasishaji na utoaji elimu zaidi kuhusu umuhimu wa kuchanja dhidi ya UVIKO 19, hivi karibuni imeanza kutekeleza adhima hio wa njia ya kampeni ya MJANJA NIMECHANJA inayofanyika kwa kuweka kambi ya muda mtaa kwa mtaa ili kukuza uelewa na kuwapa hamasa Watanaznia wengi ambao hawakuwa na mwamko juu ya suala hilo kuwa na mwitikio mkubwa kwa kuanza na mashabiki wa karibu wa klabu hio.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT