Afisa habari wa Simba SC Ahmed Ally ameonesha kufurahishwa na kiwango anachokinyesha moja ya Mchezaji mwenye asili ya nchini Zambia anayekipiga mnamo klabu hio Moses Phiri akiwa ndio kwanza katika msimu wa kwanza katika Michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara 2022/23.
Ahmed Ally ameadika …………”Moses General Phiri anakua ni mchezaji wa kwanza anaecheza ligi ya Tanzania kwa mara ya kwanza kufunga magoli 10 katika mzunguko wa kwanza wenye mechi 15!”
ADVERTISEMENT