ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Benki ya NBC Yamkabidhi Fiston Mayele Zawadi Kama Mchezaji Bora Mwezi Novemba

I am Krantz by I am Krantz
Dec 22, 2022
in HABARI
0
Benki ya NBC Yamkabidhi Fiston Mayele Zawadi Kama  Mchezaji Bora Mwezi Novemba
0
SHARES
31
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya pesa yenye thamani ya Tsh milioni 1 pamoja na tuzo kwa mchezaji wa Yanga Fiston Mayele alietangazwa mchezaji bora wa ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara kwa mwezi wa November . Anayeshuhudia kulia ni Mjumbe Bodi ya Ligi Bw.Bw. Azim Khan mapema kabla ya mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Young Africans SC dhidi ya Coastal Union uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa mapema jana .

 

Dar es Salaam: Disemba 21 , 2022: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premier League jana ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa mchezaji bora wa ligi hiyo wa mwezi November , Fiston Mayele  kutoka  klabu ya Yanga.

RelatedPosts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

Feb 5, 2023

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

Feb 5, 2023

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

Feb 5, 2023
Load More

Makabidhiano ya zawadi hizo yalifanyika muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo baina ya Yanga SC dhidi ya Coastal Union uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, mchezo ambao ulikamilika kwa timu ya Yanga SC kuibuka na ushindi wa goli 3 kwa sifuri. Magoli ya Yanga yalifungwa na mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele alifunga magoli mawili na Feisal Salum alifunga goli 1 na 

Katika tukio la makabidhiano ya zawadi hizo, ilishuhudiwa na mjumbe wa bodi ya ligi Bw. Azim Khan ambapo Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru alikabidhi mfano wa hundi ya pesa yenye thamani ya Tsh milioni 1 kwa mchezaji huyo wa Yanga Fiston Mayele  pamoja na tuzo ya mchezaji Bora wa mwezi  Novemba.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi zawadi hizo  Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru amesema NBC itaendelea kutoa hamasa kwa wachezaji na makocha kwa kila mwezi ili kuleta ushindani kwa wachezaji na makocha wote wanaoshiriki Ligi kuu.

 

“Tuzo hizi za kila mwezi tunazitoa kwa kuleta hamasa kwa wachezaji na makocha wa kila timu zinazoshiriki Ligi kuu ili wafanye vizuri na kujitangaza kimataifa ,pia kusaidia kuboresha mchezo huu wa soka hapa nchini”amesema Nduguru 

Pia akifafanua zaidi mipango ya Benki hiyo kuboresha Udhamini wake ambapo wapo katika hatua za mwisho kuanza kutoa mikopo ya mabasi kwa vilabu mbalimbali vinavyoshiriki ligi kuu kurahisisha usafiri wa vilabu hivyo.

“Pia NBC tunaendelea kudhamini michezo mingine zaidi hapa nchini kama riadha kupitia NBC Dodoma  Marathon na mashindano ya mchezo wa Golf tukidhamini klabu ya Lugalo , lengo letu ni kusaidia sekta ya michezo nchini kuwa na kiwango cha kimataifa na pia kuboresha maslahi ya wanamichezo kwa ujumla.“

Kwa upande wake Mchezaji wa Yanga Fiston Mayele alishukuru kupata tuzo hiyo na kuahidi kuwa atazidi kuongeza bidii kuwa kinara katika timu yake na kusaidia timu yake kupta ushindi wa kila mechi. 

“Napenda kuwashukuru NBC kwa kutoa tuzo hii inaongeza sana hamasa upande wangu na wa wachezaji wote na makocha,pia nawashukuru benchi la ufundi na wachezaji wenzangu kwa pamoja wameniwezesha kupata tuzo hii na nitazidi kufanya vizuri.

ADVERTISEMENT

 

ADVERTISEMENT

Mwisho.



Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In