ADVERTISEMENT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi tuzo kwa Benki ya NMB ilioshinda kuwa Mwaajiri Bora wa Ujumla wa Mwaka 2022 wakati wa Hafla ya utoaji tuzo hizo zinazoratibwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) iliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam.
(Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako na kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Jayne Nyimbo).
ADVERTISEMENT