ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

BRAZIL YAGUSWA NA MCHANGO WA PELE’

Doha, Qatar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 6, 2022
in MICHEZO
0
BRAZIL YAGUSWA NA MCHANGO WA PELE’
0
SHARES
42
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Soccer legend Pele transferred to palliative care

Timu ya Taifa ya Brazil imeendeleza utamatuni wa kuheshimu mchango wa Magwiji wa Soka walioupiga mwingi katika kusaidia mafanikio ya Timu yao hapo zamani.

RelatedPosts

UFARANSA, ARGENTINA ZAFUZU KUCHEZA FAINALI 2022

UFARANSA, ARGENTINA ZAFUZU KUCHEZA FAINALI 2022

Dec 15, 2022

ARGENTINA YATINGA FAINALI KIBABE ZAIDI

Dec 14, 2022

URENO YATINGA ROBO FAINALI KIBABE

Dec 7, 2022
Load More

Hapa moja kwa moja huwezi sahau kumtaja Gwiji mahiri wa soka Edson Arantes do Nascimento alimaarufu kama Pele’. Ni mchezaji aliyekuwa na mchango mkubwa sana katika muendelezo wa mafanikio ya Soka la Timu ya Taifa ya Brazil kwa kuifanya kutwaa Mataji Makubwa ikiwemo ya Kombe la Dunia.

ADVERTISEMENT

Ikiunganisha na tukio la Nyota huyo  aliyewahi tumikia kikosi cha timu hio ya Taifa ya Brazil ambaye kwa sasa hali yake ya kiafya haiko sawa kwa mujibu wa vipimo vya matibabu, akionekana kusumbuliwa na zaidi na Kansa, Timu ya Taifa ya Brazil ilichukua Dakika kadhaa za kuomba ili Gwiji huyo wa soka aweze rejea tena kuwa na afya njema.

Tukio la kushika picha kubwa na kuwa na utulivu wa muda kwa klabu hiyo lilifanyika baada ya kumalizika kwa dakika 90′ za mchezo wao dhidi ya Timu ya Taifa ya Korea ambapo waliibuka na ushindi wa jumla ya Goli 4-1 iliyofanya klabu hio kutinga vema hatua ya michuano ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia inatakayoendele huko Qatar.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: FIFA WORLD CUP 2022
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

GUSTO AJIUNGA NA CHELSEA
MICHEZO

GUSTO AJIUNGA NA CHELSEA

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN
MICHEZO

MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN

by ALFRED MTEWELE
Jan 27, 2023
Simba SC Yamtangaza CEO Mpya
MICHEZO

Simba SC Yamtangaza CEO Mpya

by ALFRED MTEWELE
Jan 26, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
EVERTON YAWEKWA SOKONI KWA PAUNI MIL.500
MICHEZO

EVERTON YAWEKWA SOKONI KWA PAUNI MIL.500

by ALFRED MTEWELE
Jan 25, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In