ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

DK. SAQWARE WA TIRA AZINDUWA HUDUMA MPYA YA ‘BIMA YA T-PESA’

I am Krantz by I am Krantz
Dec 8, 2022
in HABARI
0
DK. SAQWARE WA TIRA AZINDUWA HUDUMA MPYA YA ‘BIMA YA T-PESA’
0
SHARES
30
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware (kushoto) akizinduwa huduma ya Bima ya T-Pesa inayotolewa na Kampuni ya T-PESA kwa kushirikiana na makampuni mbalimbali za bima nchini leo jijini Dar es Salaam. Kulia pamoja naye ni Mkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde.


RelatedPosts

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

Jan 30, 2023

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

Jan 30, 2023

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

Jan 30, 2023
Load More
Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akizinduwa huduma ya Bima ya T-Pesa inayotolewa na Kampuni ya T-PESA kwa kushirikiana na makampuni mbalimbali za bima nchini leo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa Jubilee Insurance Tanzania, Bw. Dipankar Acharya akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa huduma ya Bima ya T-Pesa inayotolewa na Kampuni ya T-PESA kwa kushirikiana na makampuni mbalimbali za bima nchini leo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa huduma ya Bima ya T-Pesa inayotolewa na Kampuni ya T-PESA kwa kushirikiana na makampuni mbalimbali za bima nchini leo jijini Dar es Salaam.


Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde mara baada ya kuzinduwa huduma ya Bima ya T-Pesa inayotolewa na Kampuni T-Pesa leo jijini Dar es Salaam.

Na Joachim Mushi, Dar

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima nchini Tanzania (TIRA), imeipongeza Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) T-Pesa kwa kuanzisha huduma za bima mbalimbali ijulikanayo kama Bima ya T-Pesa kupitia mtandao wa simu za mkononi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam na Kamishna wa TIRA, Dk. Baghayo Saqware alipokuwa akizinduwa huduma ya Bima ya T-Pesa, alisema T-Pesa inakuwa ni moja ya wadau watoaji wa elimu ya bima nchini, kwani itakuwa na kazi pia ya kusimamia uhai, uhimilivu na uendelevu wa soko la bima.

“…T-Pesa sasa mnakuwa sehemu ya watoa elimu ya bima hapa nchini, tuna kazi ya kusimamia uhai, uhimilivu na uendelevu wa soko la bima, ili kuwezesha kukua kwa sekta ya bima. Lazima kuwe na mikakati, ya kusajili watoa huduma wa bima mbalimbali, ambao pia wanaweza kuwafikia wananchi wahitaji sehemu mbalimbali.

Alibainisha kuwa TIRA imevutiwa zaidi na huduma hizo za Bima ya T-Pesa kwani baadaye itawanufaisha pia wakulima, wafugaji pamoja na wavuvi licha ya kutoa huduma nyingine anuai za bima kwa jamii.

Wananchi wanaitaji elimu ya bima vizuri, hivyo ni matarajio ya Serikali T-Pesa pamoja na washirika wenu mtakwenda kutimiza azma yenu nzuri kwa kufuata weledi wenye kuzingatia sheria za bima za nchi.

ADVERTISEMENT

Aidha Kamishna huyo alisema, Serikali inataka huduma za bima ziwe sehemu ya utatuzi wa matatizo ya jamii yetu, ikiwemo ni pamoja na kuondoa umaskini, na kuongeza utajiri kwa wananchi.

Awali akizungumza, Mkurugenzi wa T-PESA, Bi. Lulu Mkudde alisema T-Pesa kwa kuanzia itatoa huduma za bima ya Magari, Bima ya Nyumba, Bima za ajali. Akifafanua zaidi Bi. Mkudde alisema mteja atatakiwa kupiga *150*71# kisha namba 7-Huduma ya Bima na T-Pesa kisha kufuata maelekezo mengine.

ADVERTISEMENT

“…Hakika T-Pesa imeleta urahisi kwa wateja wake kufanya manunuzi ya Bima moja kwa moja kutoka kwenye simu zao za mkononi. Hakuna tena kutumia vitabu au kadi za bima za plastiki. Wateja wa T-Pewa wataweza kupata Bima zao kwa urahisi sambamba na kila kitu wanachoitaji ikiwemo orodha ya manufaa kwa muhusika na fomu za madai kupitia simu zao.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi
HABARI

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI
HABARI

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
HABARI

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

by I am Krantz
Jan 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI
HABARI

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In