ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Equity Bank Tanzania imemteuaA Bi. Isabela Maganga kuwa Mkurugenzi Mtendaji

I am Krantz by I am Krantz
Dec 5, 2022
in HABARI
0
Equity Bank Tanzania imemteuaA Bi. Isabela Maganga kuwa Mkurugenzi Mtendaji
0
SHARES
41
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

Jan 30, 2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

Jan 30, 2023

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

Jan 29, 2023
Load More

Benki ya Equity Tanzania, kampuni tanzu ya Equity Group Holdings Plc imemteua Bi. Isabela Maganga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki.

Bi. Isabela ana Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Fedha na Uwekezaji kutoka Chuo Kikuu cha Coventry, Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Mazingira na Usimamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Pia ana Diploma ya Juu ya Benki kutoka Shule ya Biashara ya Milpark. Bi. Isabela ni mtaalamu wa Benki na aliyebobea kwenye masuala ya kifedha ya wafanyabiashara wadogo na wa kati.

Ana uzoefu mkubwa katika benki ya biashara, akiwa amehudumu katika tasnia ya fedha kwa miaka 16. Kabla ya uteuzi wake, alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Tanzania na awali Mkuu wa Kitengo cha Biashara katika Benki hiyo.

Akizungumza wakati akimkaribisha Bi. Maganga katika nafasi yake mpya, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Equity Tanzania, Mhandisi Raymond Mbilinyi alisema, “Tunafuraha kutangaza kumteua Bi. Isabela Maganga kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki. Ujuzi wake dhabiti na uzoefu utakuwa muhimu tunapoendelea na mipango yetu ya kukuza Benki na kuhudumia watu zaidi kulingana na madhumuni yetu ya kubadilisha maisha, kutoa heshima na kupanua fursa za uzalishaji mali.

ADVERTISEMENT

Akizungumzia uteuzi huo, Bi Maganga alisema, “Ninashukuru kwa kuheshimiwa kupata nafasi ya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Tanzania na kuongoza timu imara ya watu wenye vipaji na wataalamu wa sekta hiyo. Tunapoendelea kutembea katika safari ya kubadilisha maisha ya watu wetu, nathibitisha kujitolea kwangu kuendelea na kazi ambayo tumekuwa tukifanya, kuwahudumia wateja wetu vyema na kuwaunga mkono katika ukuaji wao.

Bodi ya Wakurugenzi inampongeza Bi. Maganga kwa kuteuliwa.

 

Benki ya Equity Tanzania, Golden Jubilee Towers, Mtaa wa Ohio Dar es Salaam | Simu: +255 768985500 | Barua pepe: infotz@equitybank.co.tz | Twitter: @EquityBankTz | Facebook: @TzEquityBank | Tovuti: https://equitygroupholdings.com/tz/

Benki ya Equity Tanzania inasimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
HABARI

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

by I am Krantz
Jan 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI
HABARI

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI  MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA
HABARI

WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE
HABARI

MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In