ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

HARMONIZE AHAIDI KUFUTILIA MBALI WIMBO WAKE “WEED LANGUAGE”

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 8, 2022
in BURUDANI
0
HARMONIZE AHAIDI KUFUTILIA MBALI WIMBO WAKE “WEED LANGUAGE”
0
SHARES
32
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

AUDIO Harmonize - Weed Language Ft Konshens MP3 DOWNLOAD — citiMuzikKupitia Insta Story yake Msanii Harmonize (Rajab Kahali) chini ya Menejimenti ya Konde Music Worldwide ameiomba radhi Serikali kwa kosa la kupakia mtandaoni wimbo wake alioutoa hivi karibuni ufahamikao kama “WEED LANGUAGE” ambao ulikuwa umesheheni maudhui ya Bangi kwa vile umekuwa ukitaja majina tofauti ya bangi inavyoitwa katika maeneo mengine hapa duniani.

Serikali haikuwa kimya, kupitia Wizara yenye dhamana ya kudhibiti Madawa ya Kulevya nchini ilitoa tamko kali kuhusu kupinga na kuchukua hatua kwa yeyote atayejihusisha na kuachia wimbo unaohamasisha matumizi ya madawa ya kulevya hasahasa zaidi matumizi ya bangi, Sheria itafuata mkondo wake juu ya kitendo kama hicho.  

RelatedPosts

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

Jan 31, 2023

YAMMI AFIKISHA VIEWS MIL.2 NDANI YA SIKU MBILI

Jan 24, 2023

NOMA SANA: YOUNG LUNYA KULIPISHA MILIONI 5 KWA VESI MOJA

Jan 10, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Msanii huyo ameamua kutii amri kwa kuahidi kuufutilia mbali wimbo huo uliopo kwenye majukwaa tofauti ya mtandaoni.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: SANAA YA MUZIKI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana
BURUDANI

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana

by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023
MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE
BURUDANI

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

by ALFRED MTEWELE
Jan 31, 2023
NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI
. DODOMA

NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI

by Shabani Rapwi
Jan 27, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
DIVA AJA NA HILI JIPYA “USIKU KUCHA
BURUDANI

DIVA AJA NA HILI JIPYA “USIKU KUCHA

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
YAMMI AFIKISHA VIEWS MIL.2 NDANI YA SIKU MBILI
BURUDANI

YAMMI AFIKISHA VIEWS MIL.2 NDANI YA SIKU MBILI

by ALFRED MTEWELE
Jan 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In