
Hili ni moja ya tukio kubwa litakalojenga historia muhimu katika sehemu ya Uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hapa nchini baada ya kuheshimishwa wadhifa mkubwa mbele ya Rais Mstaafu wa awamu ya 4 Mh. Dkt Jakaya Kikwete ambaye pia ndio Mkuu wa Chuo Kikuu hicho cha Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya Mahafali ya Hamsini na mbili (52) ya Duru ya Tano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika tarehe 30, Novemba, 2022.
The President of the Union of Republic of Tanzania, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan in a picture with the Chancellor of the University of Dar es Salaam, the fourth retired president, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete before the 52nd graduation ceremony of the course. a Year of College\n The University of Dar es Salaam that took place on 30th November, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa cheti mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa wa Heshima na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Mahafali ya Hamsini na mbili (52) ya Duru ya Tano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City tarehe 30, Novemba, 2022.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT