Mkuu wa Jeshi la polisi Tanzania IGP Camillus Wambura ametangaza nafasi za ajira kwa vijana waliohitimu katika elimu ya kidato cha nne, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya juu na Shahada na ambao walishahitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la kujenga Uchumi (JKU)
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT