Kiungo wa kati wa klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Ligi ya Bundesliga na Timu ya Taifa ya Uingereza Jude Bellingham 19, kwa sasa anawaniwa na Vilabu vikubwa vitatu.
Hio ni baada ya Manchester United kujiondoa katika mbio za kumsajili kiungo huyo wa kati kutoka Borussia Dortmund na kufanya Liverpool, Manchester City na Real Madrid kusalia kuongoza katika kinyang’anyiro hicho (Sky Sports Germany)
ADVERTISEMENT