ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

KAIRUKI-“SIMAMIENI ZOEZI LA UCHUNGUZI WA AWALI WA WATOTO”

Arusha, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 14, 2022
in HABARI
0
KAIRUKI-“SIMAMIENI ZOEZI LA UCHUNGUZI WA AWALI WA WATOTO”
0
SHARES
24
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DKT. DUGANGE-95% YA ZABUNI ZA TARURA KAZI INAENDELEA

DKT. DUGANGE-95% YA ZABUNI ZA TARURA KAZI INAENDELEA

Jan 24, 2023

Pikipiki 916 kugawiwa kwa Watendaji wa Kata

Jan 24, 2023

DODOMA WAPONGEZWA KWA KUPIGA HATUA KWENYE ELIMU

Jan 23, 2023
Load More
May be an image of 5 people, people standing, indoor and text that says 'Û ZA MITA VALA A MIKOA SERIKALI YA DUZI WA MIONGOZO YA UTEKELE. WA ELIMU MAALUMU 2022 Mahali: Chuo Elimu Maalumu Patandi'
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Angellah Kairuki amewaagiza Maafisa elimu Maalum wote nchini kuhakikisha wanasimamia zoezi la uchunguzi wa awali wa watoto ili kubaini watoto wenye mahitaji maalum katika jamii.
Ameyasema hayo  Disemba12, 2022 wakati akifungua mafunzo kwa maafisa elimu watu Wazima na maafisa elimu Maalum iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha Ualimu Patandi, Mkoani Arusha.
Amewataka kuhakikisha wanatumia vituo vya uchunguzi (Education Support Resource Assessment Centre) na kuwaelekeza watoto wenye mahitaji maalum katika shule stahiki ambazo wanapaswa kupelekwa ili wapate afua stahiki
Waziri Kairuki ameelekeza shughuli za usimamizi na uendeshaji wa elimu zihusishe kikamilifu masuala ya elimu maalumu na elimu ya watu wazima kwa kuhakikisha wanashirikiana na viongozi katika jamii katika kuratibu shughuli za elimu ya watu wazima na elimu Maalum katika shule za msingi na Sekondari
Ametoa rai kwa Maafisa hao kuweka utaratibu wa kupokea wanafunzi wenye mahitaji maalum wa kidato cha kwanza, darasa la kwanza na awali kwa mwaka 2023 kwa kushirikiana na viongozi katika maeneo yao ili kuweka mazingira bora kwa wanafunzi hao
Waziri Kaituki amewataka viongozi wa elimu katika ngazi ya shule, Kata, Halmashauri na Mikoa kufuatilia ufundishaji na ujifunzaji shuleni na kushirikiana na walimu katika kuhakikisha wanafunzi wanapata umahiri uliokusudiwa badala ya kukaa ofisini.
Aidha,ameagiza kila mwalimu lijiwekea malengo binafsi katika masomo anayofundisha na kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayeshindwa kupata umahiri uliokusudiwa katika somo lake ifikapo mwishoni mwa kila mwaka
May be an image of 4 people, people standing and indoor
May be an image of 1 person and standing
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi
HABARI

Teknolojia Mpya ya Kupunguza Maumivu Wakati wa Hedhi

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI
HABARI

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
HABARI

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

by I am Krantz
Jan 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI
HABARI

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In