ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Uongozi wa Klabu ya @Ruvu_shootingFc umemtangaza Mbwana Makata kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa mwaka moja akibeba mikoba iliyoachwa wazi na Charles Boniface Mkwasa ambaye ajiuzulu nafasi yake hapo jana kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo.
Kocha Makata amewahi hudumu pia ndani ya klabu ya Dodoma Jiji FC na Mbeya Kwanza FC akikaimu nafasi ya kocha mkuu kabla ya kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ruvu Shooting.