ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

KYLIAN MBAPPE ACHEZA NA REKODI ZA MESSI

Qatar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 5, 2022
in MICHEZO
0
KYLIAN MBAPPE ACHEZA NA REKODI ZA MESSI

2J2RBA2 April 3, 2022, Paris, France, France: Kylian MBAPPE of PSG celebrates his goal during the Ligue 1 match between Paris Saint-Germain (PSG) and FC Lorient at Parc des Princes stadium on April 03, 2022 in Paris, France. (Credit Image: © Matthieu Mirville/ZUMA Press Wire)

0
SHARES
56
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

ImageKylian Mbappé Lottin ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya  Paris Saint-Germain, PSG inayoshiriki Ligi kuu ifahamikayo kama Ligue 1 na timu ya taifa ya Ufaransa. Anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi ulimwenguni, Mbappé anasifika kwa uwezo wake wa kucheza chenga, kasi ya kipekee na umaliziaji.

Mshabuliaji huyo amedhihirisha uwezo mkubwa sana akiwa bado angali kinda (umri wa miaka 23).

RelatedPosts

UFARANSA, ARGENTINA ZAFUZU KUCHEZA FAINALI 2022

UFARANSA, ARGENTINA ZAFUZU KUCHEZA FAINALI 2022

Dec 15, 2022

ARGENTINA YATINGA FAINALI KIBABE ZAIDI

Dec 14, 2022

URENO YATINGA ROBO FAINALI KIBABE

Dec 7, 2022
Load More

Mchezaji huyo amekuwa miongoni walioleta chachu ya Ushindi na kufanya Timu yake ya Taifa isonge mbele kwa kutinga nafasi ya kushiriki Robo Fainali ya michuano hio ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar.

Ana jumla ya Mabao 9 ya Kombe la Dunia baada ya kushiriki Msimu wa 2 katika michuano hio.

ADVERTISEMENT

Ubora wake unaonekana kuwa ni zaidi ya magwiji kama vile Diego Maradona, Cristiano Ronaldo, Suárez, Neymar, Thierry Henry, Rivaldo, Kempes… na zaidi.

Mabao yake kwa sasa ni sawa na Lionel Messi – lakini Kombe la Dunia 3 chini ya nyota wa Argentina na bado anaweza kuwa na rekodi nzuri zaidi.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: FIFA WORLD CUP 2022
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
BIASHARA

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

by I am Krantz
Feb 3, 2023
ANDARE AYEW AJIUNGA NA NOTTINGHAM FOREST
MICHEZO

ANDARE AYEW AJIUNGA NA NOTTINGHAM FOREST

by Shabani Rapwi
Feb 3, 2023
YANGA YAJIBU TAMKO LA SPORTPESA ‘HATUKUBALIANI NA KASHFA HII’
MICHEZO

YANGA YAJIBU TAMKO LA SPORTPESA ‘HATUKUBALIANI NA KASHFA HII’

by Shabani Rapwi
Feb 2, 2023
Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”
MICHEZO

Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”

by ALFRED MTEWELE
Feb 2, 2023
Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
HABARI

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma

by I am Krantz
Feb 2, 2023
BRUNO GOMEZ, PLUIJM WAIBUKA BORA MWEZI JANUARI, LIGI KUU
MICHEZO

BRUNO GOMEZ, PLUIJM WAIBUKA BORA MWEZI JANUARI, LIGI KUU

by ALFRED MTEWELE
Feb 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In