Kiungo wa kati wa Borussia Dortmund na Uingereza Jude Bellingham, 19, amekuwa akilengwa kwa muda mrefu na Liverpool lakini pia wanapanga kumnunua kiungo wa kati wa daraja la chini Januari ambaye anaweza kuwa mchezaji wa kawaida wa kikosi cha kwanza. (Football Insider)
Baada ya kutazama uchezaji wake katika Kombe la Dunia, Real Madrid sasa wanahisi “itafaa juhudi” kutafuta mkataba wa majira ya kiangazi na Bellingham huku Liverpool wakikaribia kumnunua kiungo wa kati wa Benfica na Argentina Enzo Fernandez, 21. (Marca – in Spanish)
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT