ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MAGARI YA WAGOJWA KUWEPO KILA WILAYA NCHINI

Lindi, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 5, 2022
in HABARI
0
MAGARI YA WAGOJWA KUWEPO KILA WILAYA NCHINI
0
SHARES
32
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

PROF. MAKUBI ATAKA WANANCHI WAJUE UMUHIMU WA CHANJO

PROF. MAKUBI ATAKA WANANCHI WAJUE UMUHIMU WA CHANJO

Feb 2, 2023

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

Jan 30, 2023

BILIONI 1.3 ZATENGWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA KATA YA ORKOLILI

Jan 24, 2023
Load More
May be an image of 4 people, people standing and outdoors
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan imenunua jumla ya magari mapya ya kubebea wagonjwa 720 yatayofanya kila Wilaya kuwa na gari la kubebea wagonjwa hivyo kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Desemba 1 katika viwanja vya Ilulu Mkoani Lindi yenye kauli mbiu ya “Imarisha usawa.”
Sambamba na hilo amesema Dkt. Mollel amesema, katika kipindi kifupi tangu Serikali ya awamu ya sita iingie madarakani zaidi ya CT-SCAN 34 zimenunuliwa zitazofungwa katika hospitali zote za Rufaa za Mikoa na kuwasaidia wananchi kupata huduma hizo ambazo ilikuwa historia kuzipata hapa nchini.
Ameendelea kusema kuwa, CT-SCAN moja ni zaidi ya Bilioni 2.2 hivyo kutoka hospitali mbili za Rufaa za Mikoa zilizokuwa na CT-SCAN mpaka kufikia hospitali zote za Rufaa za Mikoa kuwa na mashine hizo ni msaasa mkubwa sana katika kuwapunguzia wananchi gharama za matibabu na usumbufu wa kutafuta huduma hizo uliokuwa hapo awali.
Amesema kuwa zaidi ya miliini 180 zilikuwa zikitumika katika gharama zote za kusafirisha mgonjwa kufuata huduma za CT-SCAN hivyo upatikanaji wa mashine za CT-SCAN umesaidia kuokoa gharama kubwa ambazo zingetumika kwenye kusafirishia wagonjwa, na sasa gharama hizo zinatumika katika kuboreshea huduma nchini.
Pia, Dkt. Mollel amesema, Serikali imenunua mashine ya Pet Scan itayosaidia kutibu sehemu yenye tatizo la Ugonjwa wa kansa bila kuathiri eneo lingine lolote ikiwamo kunyonyoka nywele, huku akisisitiza kwa Afrika Mashariki na kati Tanzania ni nchi pekee yenye mashine hiyo itayosaidia kuzalisha mionzi dawa.
Kwa kununua mashine hiyo kumsaidia kupunguza gharama za matibabu na kuokoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 5 iliyokuwa ikitumika kununua mionzi dawa katika nchi ya Afrika Kusini ili kuwasaidia wananchi wenye uhitaji wa huduma hizo. Amesisitiza Dkt. Godwin Mollel.
Mbali na hayo Dkt. Mollel amesema, Serikali imenunua mashine ya anjosuti kwaaji ya matibabu ya watoto wenye tatizo la ulimi mkubwa, na tayari zaidi ya watoto 500 wamepatiwa huduma hiyo katika taasisi ya MOI, huku kila upasuaji wa mtoto mmoja ungegharimu kiasi cha shilingi milioni 100.
Mwisho.
May be an image of 2 people, people sitting and indoor
May be an image of 1 person and standing
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: Wizara ya Afya
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In