ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MAYELE AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 8, 2022
in MICHEZO
0
MAYELE AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
0
SHARES
41
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

May be an image of 2 people, people playing football, ball and outdoorsKamati ya Tuzo za TFF imempitisha Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele kuwa Mshindi wa tuzo ya Mchezaji bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu soka Tanzania bara 2022/2023 kwa kufunga magoli 7 ambapo Mayele alikuwa akiwania tuzo hiyo na Moses Phiri wa Simba SC na Saido Ntibazonkiza wa Geita.

Baada ya kikao cha kamati ya tuzo za TFF kilichokutana jijini Dar es salaam siku ya Jumanne December 6 2022 kilimchagua Mayele kutokana na kuonesha kiwango kizuri kwa mwezi Novemba na kutoa mchango mkubwa ndani ya kikosi cha Yanga SC.

RelatedPosts

GEITA GOLD FC YAACHANA NA GEORGE MPOLE

GEITA GOLD FC YAACHANA NA GEORGE MPOLE

Dec 7, 2022

KOCHA MKUU MPYA ATUA RUVU SHOOTING

Dec 6, 2022

Ahmedy Ally -Unbeaten yenu Ilijaaa Mafindofindo Sana

Dec 1, 2022
Load More

Zaidi ya hilo katmati hio kupitia kikao hicho kilimchagua Kocha mkuu wa Simba SC Juma Mgunda kuwa ndiye kocha bora wa mwezi Novemba.

 

ADVERTISEMENT

May be an image of 1 person

ADVERTISEMENT

Related

Tags: NBC PREMIER LEAGUE
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

GUSTO AJIUNGA NA CHELSEA
MICHEZO

GUSTO AJIUNGA NA CHELSEA

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN
MICHEZO

MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN

by ALFRED MTEWELE
Jan 27, 2023
Simba SC Yamtangaza CEO Mpya
MICHEZO

Simba SC Yamtangaza CEO Mpya

by ALFRED MTEWELE
Jan 26, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
EVERTON YAWEKWA SOKONI KWA PAUNI MIL.500
MICHEZO

EVERTON YAWEKWA SOKONI KWA PAUNI MIL.500

by ALFRED MTEWELE
Jan 25, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In