Kijana mmoja ambaye ni Mkazi wa National jijini Mwanza (Rock City) ameshinda zawadi ya Pikipiki mpya kutoka Benki ya NMB Kupitia promosheni ya Mastabata Kotekote.
Hakika alishidwa jizuia furaha yake juu ya ushindi huo nakuona aishukuru Benki hio kupitia promosheni ilioanzishwa ambayo inayowapa watu fursa zaidi pale wakishiriki na kushinda.
‘Asante sana Benki yangu ya NMB kwa kunizawadia pilikiki, nimeanza vizuri msimu huu wa sikukuu maana sasa sina wasiwasi kuendesha mishe zangu’ Amesema Bernard Luckas Matiku, Mkazi wa National – Mwanza baada ya kukabidhiwa pikipiki aliyoshinda katika promotion ya NMB Mastabata Kotekote.