ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU VYA SH. MILIONI 37 KIBAHA

I am Krantz by I am Krantz
Dec 22, 2022
in HABARI
0
NMB YAKABIDHI VIFAA VYA KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU VYA SH. MILIONI 37 KIBAHA
0
SHARES
39
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Sara Msafiri, akiangalia kabati za kuhifadhia vitabu zilizotolewa kwa Shule ya Msingi Sofu sh. Milioni 37 iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibaha. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Kibaha, Festo Issango
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Sara Msafiri, akiangalia kabati za kuhifadhia vitabu zilizotolewa kwa Shule ya Msingi Sofu sh. Milioni 37 iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibaha. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Kibaha, Festo Issango

 

Benki ya NMB imekabidhi vifaa vya kusaidia maendeleo ya elimu wilayani Kibaha vyenye thamani ya zaidi ya TZS milioni 37 kama sehemu ya kuchangia ustawi wa huduma za kijamii nchini.

RelatedPosts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

Feb 5, 2023

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

Feb 5, 2023

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

Feb 5, 2023
Load More

Kiasi hicho ni sehemu ya asilimia moja ya faida baada ya kodi ambayo benki hiyo utenga kila mwaka kusaidia kutatua changamoto zinazoikabili jamii na kuwekeza katika miradi ya maendeleo.

Akizungumza kabla ya makabidhiano hayo, Meneja waTawi la NMB Kibaha, Bw Festo Isango, aliyemwakilisha Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam inayojumuisha pia Mkoa wa Pwani, alisema bajeti ya mwaka huu ya benki hiyo ya uwajibikaji kwa jamii ni zaidi ya TZS bilioni mbili.

“Kwa miaka kadhaa sasa, NMB imekuwa ikisaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi kwa kujikita zaidi kwenye miradi ya elimu (madawati na vifaa vya kuezeka), afya (vitanda, magodoro yake na vifaa vingine vya kusaidia matibabu) na kusaidia majanga yanayoipata nchi yetu,” Bw Isango alibainisha.

“Na kwa zaidi ya miaka saba mfululizo tumekuwa tukitenga asilimia moja ya faida yetu kama sehemu ya uwajibikaji kwa jamii inayotuzunguka,” akiongezea.

Hafla ya kukabidhi vifaa hivyo kwa ajili ya shule nne za sekondari na mbili za msingi ilifanyika kwenye ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Bi Sara Msafiri, aliyeipongeza benki hiyo kwa ushiriki wake wa dhati katika maendeleo taifa.

Kwa mujibu wa Bw. Isango, kiwango cha uwekezaji cha NMB katika miradi ya maendeleo ni kikubwa sana kinachoifanya benki hiyo kuwa kinara wa ustawi wa jamii miongoni mwa taasisi za fedha nchini na vifaa waliyokabidhi leo ni moja ya ushiriki wao katika maendeleo ya jamii.

ADVERTISEMENT

Shule zilizopata msaada wa benki hiyo jana ni shule za msingi Sofu na Mwanabwito. Za sekondari ni Mwanalugali, Pangani, Kibaha Girls na Mbawa Miswe. Usaidizi zilizoupata ni wa samani za ofisi za walimu, meza na viti vya wanafunzi, vitanda, makabati pamoja na mabati.

MWISHO…



ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In