Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya Kilimo katika Mkutano wa AGRA uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani tarehe 12 Desemba, 2022.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT