
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM Katika ukimbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo tarehe 07 Dec, 2022
Mkutano huo unahusisha uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama pamoja na Wajumbe (wawakilishi) Tanzania Bara na baadhi ya Wajumbe kutokea upande wa Visiwani Zanzibar
THE 10TH GENERAL MEETING OF CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)- JKCC, DODOMAChairman of Chama Cha Mapinduzi (CCM) Hon Dr. Samia Suluhu Hassan participating in the 10th General Meeting of CCM at Jakaya Kikwete’s meetings Hall in Dodoma today on December 07,2022
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT