ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SARAPHINA AJIACHIA NA “UPO NYONYO” MBELE YA RAIS SAMIA

Dodoma, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 7, 2022
in BURUDANI
0
SARAPHINA AJIACHIA NA “UPO NYONYO” MBELE YA RAIS SAMIA
0
SHARES
61
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Msanii aliyewahi kuwa mshindi wa Bongo Star Search mnamo mwaka 2018, Saraphina Michael (alimaarufu kama “SARAPHINA”) amepata nafasi ya kutumbuiza leo Desemba 7,2022 katika mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi, CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) uliopo mkoani Dodoma.

Msanii huyo wa mziki wa kizazi kipya ametumia Remix ya Wimbo wake uliotamba sana kwa kusikilizwa na kupendwa na watu wengi unaofahamika kwa jina la “UPO NYONYO” pamoja na wimbo mwingine wenye maudhui ya Kukisifu Chama kuweza kuwapatia burudani walengwa wote waliohuzuria katika tukio hilo.

RelatedPosts

CHONGOLO ATAKA MAAMUZI YAFANYIKE NA SIO KULALAMIKA

CHONGOLO ATAKA MAAMUZI YAFANYIKE NA SIO KULALAMIKA

Jan 24, 2023

RAIS ASHAURI KUACHANA NA ZAMA ZA UGOMVI NA KUTUKANANA

Jan 10, 2023

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 10 WA CCM KITAIFA

Dec 7, 2022
Load More

Mkutano huo ulijumuisha uwepo wa Mwenyekiti wa Chama mwenyewe Rais Dkt. Samia Hassan, makamu wake Dkt. Philip Isdor Mpango, Katibu muenezi wa Hitikadi za chama Ndug. Shaka Hamdu Shaka, Wanaowania nafasi za ujumbe pamoja na wageni waalikwa wengine.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: CCM-Tanzania
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”
BURUDANI

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY
BURUDANI

BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA
BURUDANI

TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA

by ALFRED MTEWELE
Feb 6, 2023
Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana
BURUDANI

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana

by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023
MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE
BURUDANI

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

by ALFRED MTEWELE
Jan 31, 2023
NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI
. DODOMA

NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI

by Shabani Rapwi
Jan 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In