ADVERTISEMENT
Waziri Dorothy Gwajima @gwajimad amesema kwamba Serikali itaendelea kushirikiana na Wadau wote kwa ukaribu katika kupambana na vita ya ukatili wa kijinsia kwani bila wao Serikali peke yake haiwezi kufanikisha kwa wigo mpana zaidi.
Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa Habari, pamoja na mabalozi wa Umoja wa Ulaya @euintanzania Jijini Dar es salaam wakati Umoja huo ukieleza utekelezaji wake katika Kampeni ya siku 16 za kupinga Ukatili wa kijinsia
Nov.25 – Dec. 10, 2022
Minister Dorothy Gwajima @gwajimad has said that the government will continue to cooperate with all stakeholders in the fight against gender based violence because without them the government alone cannot do it. He has said this while talking to journalists, together with European Union ambassadors @euintanzania in Dar es Salaam city while the Union is explaining its implementation in the 16-day campaign against gender violence.Nov. 25 – Dec. 10, 2022
ADVERTISEMENT