
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango, Kupitia Mkutano Mkuu wa 22 wa Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector TPSF) amemkabidhi Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa #SilentOceanLimited ndugu Salaah Said Mohamed (@counsellorsalaah) tuzo ya Ubora kwa Usafirishaji majini kwa Kampuni ya Silent Ocean na Kilimanjaro Star Cargo.
.
TPSF imetambua mchango wa Silent Ocean na Kilimanjaro Star Cargo katika kusaidia ukuaji wa Uchumi kwa wafanyabiashara wa ngazi zote Tanzania. Silent Ocen Ltd na Kilimanjaro Star Cargo tuna uzoefu wa Miaka 18 ya ubora wa Usafirishaji majini.

Translated;
The Vice President of the Republic of Tanzania Honorable Philip Mpango, through the 22nd General Meeting of the Private Sector Tanzania (Tanzania Private Sector TPSF) has handed over the executive director (CEO) of #SilentOceanLimited, Salaah Said Mohamed (@c ousellorsalaah) Excellence award in water transportation for Silent Ocean and Kilimanjaro Star Company\n Charge.
.
TPSF has recognized the contribution of Silent Ocean and Kilimanjaro Star Cargo in supporting economic growth to businessmen of all walks of life in Tanzania. Silent Ocen Ltd and Kilimanjaro Star Cargo we have 18 Years experience of quality shipping in water.
.
We are sea lions, @silent_ocean_ltd @kilimanjarostarcargo @counsellorsalaah.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT