
Baada ya Droo ya Timu zitazoenda Kuchuana kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika CAF kuchezeshwa, Klabu ya Simba yatajwa kuwa katika kundi C pamaoja na vilabu vingine 3
Hizi ndizo timu zilizopo kataika Kundi C;
• Raja Club Athletic
Morocco

• Horoya AC
Guinea

• Simba SC
Tanzania

• Vipers SC
Uganda

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT