Mkuu wa Divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Pieter de Jager (kulia), akiwa katikapicha ya pamoja na Maofisa wengine wa kampuni hiyo wakiwa wameshika Tuzo walizoshinda katika hafla ya utoaji tuzo wa Uwaandaaji na Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), ya mwaka 2021 katika hafla iliyofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Jamal Kassim Ali akikabidhi tuzo ya Mshindi wa kwanza kipengele cha wazalishaji viwandani katika tuzo za uandaaji na uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), ya mwaka 2021 kwa Mkuu wa Divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Pieter de Jager katika hafla iliyofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.wengine kulia ni Maofisa wa Tanga Cement
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Jamal Kassim Ali akikabidhi tuzo ya mshindi wa jumla katika tuzo za za uandaaji na uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), mwaka 2021 kwa kwa Mkuu wa wa Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Isaac Lupokela katika hafla iliyofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maofisa kutoka Tanga Cement wakiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Jamali Kassim Ali (kushoto), akikabidhi Tuzo kwa Meneja Mauzo kitaifa wa Kampuni ya Tanga Cement Mhandisi Leslie Masawe wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) ambapo Tanga Cement ilishiriki kwenye maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam Novemba 30, 2022
Washindi wa jumla wa tuzo zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Washindi wa Kwanza wa tuzo zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2021 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
………………………………………………
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
Kampuni
ya Tanga Cement PLC imeshinda tuzo za
NBAA kwa mwaka wa sita mfululizo leo imeshinda Mshindi wa kwanza kipengele cha wazalishaji
viwandani katika tuzo za uandaaji na uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu
zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), ya mwaka
2021 kwa kufuata viwanga
stahiki.
Katika
hafla ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAAkilichopo
Bunju jijini Dar es Salaam, Tanga Cement imeibuka na mshindi wa kwanza wa jumla katika tuzo za uandaaji na
uwasilishaji Bora wa Taarifa za Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya
Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu (NBAA), mwaka 2021.
Akizungumza
mara baada ya kupokea tuzo hizo, Mkuu
wa Divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Pieter de Jager amesema tuzowalizopokea Tanga Cement
zimetokana na kuendelea kutekeleza miongozo ya uandaaji wa mahesabu iliyowekwa na
kuhakikisha kuwa tunaitekeleza ndani ya Tanga Cement.
“Ni kawaida yetu sisi kama Tanga Cement katika
kutekeleza miongozo iliyowekwa ya waandaaji wa mahesabu hii tunaifurahia,
inatuongezea shauku kubwa ya kuaminika kama wazalishaji bora viwandani.
Tanga
Cement imekuwa ikiibuka na ushindi huu kwa mwaka wa sita sasa mfurulizo hii
inatupa morali yakuendelea kujiamini pia kuendelea kuzalisha mali ghafi ili
watumiaji wetu waendelee kutuamini nakufurahia bidhaa zetu alisema Pieter.
Aidha,
Mkuu wa wa Fedha
wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Isaac Lupokela amewataka wadau mbalimbali
kuitumia Tanga Cement kwani ni vizuri
kutambua kuwa kazi inayofanywa na Tanga Cement ni nzuri ndio maana hata imeweza kutwaa
ushindi kwa mwaka wa sita mfululizo
katika kutoa taarifa zake kwa bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu (NBAA).
Kwa
upande wake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Mheshimiwa Jamali
Kassim Ali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo amesema.
“Kwa
mujibu wa Sheria, vigezo vyetu vya ndani na vile vya Kimataifa ili kufanya
hesabu zetu ziwe na ubora na watumiaji wake waweze kuzitumia na kufanya maamuzi
yaliyosahihi, hilo ndio jambo kubwa ambalo ningependa kuwaasa viongozi wa
taasisi mbalimbali za Serikali na zile za binafsi”
“Ukweli
ni kwamba nimefurahia kuona washindi walioshinda leo pia niwapongeze kampuni ya
Tanga Cement kwakutwaa tuzo ya jumla kwa wazalishaji bora viwandani kwa mwaka
wa sita mfululizo hii inaonesha kuwa viwanda vyetu vinafanya vizuri katika
uzalishaji pia utoaji wa taarifa za mahesabu.
Hata
ukiangalia kwa mujibu wa idadi ya washiriki wa kila kipengele ni kubwa kwaiyo
hata kumpata mshindi wa kwanza wa pili na watatu inaonyesha kwamba woteni
washindi ila itakuwa ni tofauti ndogo ndogo.