Kampuni ya Mawasiliano chini, tiGo Tanzania imefanikisha Safari ya kwenda Kushuhudia Michuano ya Fainali za Kombe la Dunia 2022 huko Qatar kwa Group la 5 la Washindi wa Promosheni ya Wakishua Twenzetu Qatar na Hisense.
Kampuni hio baada ya kufanikisha kuyapeleka makundi mengine kadhaa ya sehemu ya Washindi hao sasa imeweza fanikisha Group la 5 kwenda pia.