Kupitia Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, TRA yafunguka kuhusu kuona Malalamiko yaliotolewa na Mfanyabiashara Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) kupitia mitandao ya Kijamii yaliohusisha ukiukwaji wa sheria za kodi kwa kusema kuwa hakuna maelezo ya wazi yatakayotolewa kwa kuzingatia kanuni za kisheria zinazolinda haki za usiri wa Taarifa za undani za Mlipakodi.
ADVERTISEMENT
Baada ya TRA kutoa taarifa hio Watu wengi wameibuka na kusema kuwa Mamlaka hio haijajibu suala hilo ipasavyo yaani kwa kuzingatia namna hoja ilivyojengwa na Msanii huyo.
ADVERTISEMENT