Baada ya Timu ya Taifa ya Ufaransa (Bingwa mtetezi wa 2018) kufuzu hatua hio ya kushiriki fainali za michuano ya Kombe la Dunia itaenda kuchuana vikali na kikosi cha Timu ya Taifa ya Argentina ambayo iliweza fuzu siku moja nyuma kabla yake.
Timu ya Ufaransa imepata ushindi wake wa kufuzu hatua hio dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco katika mchezo wao wa Nusu Fainali uliochezwa Disemba 14,2022. Jumla ya goli 2-0 ndizo zimeipa nafasi Ufaransa kutinga vyema katika hatua hio.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT