ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Waganga Wakuu na Wafamasia Waagizwa Kufuata Taratibu za Utoaji

Dodoma, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 6, 2022
in HABARI
0
Waganga Wakuu na Wafamasia Waagizwa Kufuata Taratibu za Utoaji
0
SHARES
30
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DKT. DUGANGE-95% YA ZABUNI ZA TARURA KAZI INAENDELEA

DKT. DUGANGE-95% YA ZABUNI ZA TARURA KAZI INAENDELEA

Jan 24, 2023

Pikipiki 916 kugawiwa kwa Watendaji wa Kata

Jan 24, 2023

DODOMA WAPONGEZWA KWA KUPIGA HATUA KWENYE ELIMU

Jan 23, 2023
Load More
May be an image of 5 people, people standing, people sitting and indoor
Serikali imewataka Waganga Wakuu na Wafamasia katika Halmashauri nchini kufuata taratibu za utoaji dawa kwa wagonjwa ili kuepuka malalamiko yasiyokuwa ya lazima.
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt Festo Dugange tarehe 05.12.2022 alipokwenda kujionea utoaji wa huduma za afya kwa wananchi na maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Uhuru iliyopo Halmashauri ya Chamwino mkoani Dodoma
“nataka mukikishe dawa zote muhimu zinapatikana kwa wagonjwa wote na zipatikane kwa asilimia 95 mpaka 100 sitarajii kupata malalamiko yoyote kwa wagonjwa ya kukosa dawa na wale watakaobainika na upotevu wa dawa hatua stahiki za kiutumishi zichukuliwe” alisema Mheshimiwa Dugange.
Mheshimiwa Dugange amesema ni lazima kila Mfamasia kukabidhi dawa zinazotoka Bohari Kuu ya dawa kwa kuthibitisha kwa maandishi kuwa amepokea na anayekabidhiwa andike jila lake na kusaini hali akibaki na nakala ya ushaidi juu ya mwenendo wa utumiaji dawa kwenye hospitali ili kuondoa malalamiko na ukosefu wa dawa.
Aidha amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI itapeleka gari la wagojwa katika hospitali ya Uhuru ili kuweza kuboresha zaidi huduma kwa wagojwa kwani miundo mbinu inayoendelea kujengwa ni dhamira ya Serikali kuendelea kuboresha ili kutoa huduma inayotarajiwa.
Kwa upende wake Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Chamwino ametaja changamoto zinazo ikabili hospitali ya Uhuru upungufu wa majengo ya kutolea huduma kama wodi ya kulaza wagojwa wa upasuaji, wagonjwa wa dharura na ajali pamoja na jengo la kufulia na kutakasa vifaa na stoo
Ameishuku Serikali kwa kutoa vitanda 12, meza 12 pamoja na mashine ya mionzi pamoja na kupokea Mradi wa ujenzi wa jengo la kutengeneza hewa ya oksijeni.
May be an image of 3 people and indoor
May be an image of 8 people, people standing and indoor
May be an image of 4 people, people standing, indoor and text that says 'DRGEM u'
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
HABARI

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

by I am Krantz
Jan 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI
HABARI

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI  MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA
HABARI

WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE
HABARI

MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In