ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WATOA HUDUMA ZA AFYA 600 WAJENGEWA UWEZO NCHINI

Mwanza, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Dec 15, 2022
in HABARI
0
WATOA HUDUMA ZA AFYA 600 WAJENGEWA UWEZO NCHINI
0
SHARES
18
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

PROF. MAKUBI ATAKA WANANCHI WAJUE UMUHIMU WA CHANJO

PROF. MAKUBI ATAKA WANANCHI WAJUE UMUHIMU WA CHANJO

Feb 2, 2023

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

Jan 30, 2023

BILIONI 1.3 ZATENGWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA KATA YA ORKOLILI

Jan 24, 2023
Load More
May be an image of 1 person
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imewajengea uwezo Watoa huduma za Afya 600 kwa kuwapa mafunzo juu ya utoaji wa huduma za kuzuia na kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kupambana dhidi ya magonjwa hayo.
Hayo yamebainishwa leo na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Thomas Rutachunzibwa wakati akifungua mafunzo ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza kwa watoa huduma za Afya nchini.
“Mafunzo haya yamekuja wakati muafaka ambapo Serikali ipo katika utekelezaji wa Mkakati Jumuishi wa III wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza 2021-2026 ili kuhakikisha watoa huduma wanaweza kutoa huduma bora nchini.” Amesema Dkt. Rutachunzibwa
Ameendelea kusema kuwa, mafunzo hayo yanayoendelea kutolewa yanategemea kuwafikia watoa huduma za Afya msingi wapatao 3,000 kutoka Mikoa yote 26 hadi kufikia Desemba, 2023.
“Tayari kupitia mpango huu jumla ya Watoa huduma 577 wamekwishajengewa uwezo kutoka vituo vya Afya 138 katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Singida, Dar es Salaam, Pwani, Songwe, Lindi, Dodoma na Kigoma kwa awamu ya Kwanza, Pili, Tatu na Nne.” Amesema.
Sambamba na hilo, ameweka wazi kuwa, mafunzo haya yanayofanyika sasa ni awamu ya tano ambapo hadi kufikia 16 Desemba 2022, jumla ya watoa huduma 630 kutoka katika vituo vya Afya vya mikoa mitano ambayo ni Mwanza, Geita, Mara, Kagera na Simiyu watajengewa uwezo wa kuzuia, kudhibiti na kutoa huduma bora za magonjwa yasioambukiza.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Chama cha Kisukari Tanzani (TDA) kwa lengo la kuwajengea uwezo watoa huduma za Afya Msingi ili waweze kutoa huduma bora kwa wagonjwa wa Magonjwa Yasiyoambukiza.
Mwisho.
May be an image of 3 people and people standing
May be an image of 8 people, people sitting and indoor
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: Wizara ya Afya
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
« Nov   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In