ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

ALICHOKISEMA MKE WA MANARA CHAPOZA FUKOFUKO

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 11, 2023
in BURUDANI
0
ALICHOKISEMA MKE WA MANARA CHAPOZA FUKOFUKO
0
SHARES
28
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

No Content Available
Load More
May be an image of 2 people and people standingBaada ya hali ya sintofahamu ya muda kuibuka juu mvutano uliotokea katika mahusiano ya Bw. Haji Manara na Mke wake wa pili RUSHAYNAH, kwa sasa imebidi hekima zitumike ili kupunguza kasi ya mrushiano wa maneno yenye kughadhabisha, jukumu hilo limefanywa na mke wake mkubwa kwa kutumia kauli nzuri sana.
May be an image of 1 person, standing, turban and outdoors
@rubynah_bnt_salum ameandika….. “Kila Kitu ni Subrah Nakuombea Subrah Mume wangu…Nakuombea Utulivu na Hekma kipenzi changu…
Usijaribu kumjibu yoyote Kwanzia Sasa…Endelea kuwa na kifua kipana na hili litapita muda sio mrefu…Wewe ni Mwanamme Jasiri mno na ndio maana neno lako kwa kila anaekutukana unaniambia Tumuachie Mungu…Basi na hili Muachie Mungu Kuwa Kimya Endelea Na Majkum Yako Ya Kazi

Yana Muda basi…? Dunia hii hii ndio itaongea ukweli siku chache zijazo…Usijali abadan…Endelea Kujali Familia Yako Na mambo Yako tu…Acha Haya Yanayo Endelea Sasa Acha…Umesema Umejifunza Sasa Inatosha Fanya Vitendo Tu Mengine Muachie Allah..”

Nakupenda mno na nipo Kwa ajili yako leo na kesho yake My Husband ❤️❤️❤️ @hajismanara

@hajismanara ameandika Verified, Nakushukuru sana Mke wangu na nimesikia neno lako,,sijibu lolote na uzuri wake sio ya kudumu,,yatapita na mm ntaendelea kuhifadhi ya sirini,,
Nakupenda mke mwema 🙏🏻❤️
May be an image of 3 people, people standing and indoor
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: LIFESTYLES
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana
BURUDANI

Diamond; Mwaka Jana Biashara, Mwaka Huu ni Mziki kwa Sana

by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023
MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE
BURUDANI

MARIOO AMSHUKURU RAIS KIKWETE KUITIKIA MWALIKO WAKE

by ALFRED MTEWELE
Jan 31, 2023
NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI
. DODOMA

NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI

by Shabani Rapwi
Jan 27, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
DIVA AJA NA HILI JIPYA “USIKU KUCHA
BURUDANI

DIVA AJA NA HILI JIPYA “USIKU KUCHA

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
YAMMI AFIKISHA VIEWS MIL.2 NDANI YA SIKU MBILI
BURUDANI

YAMMI AFIKISHA VIEWS MIL.2 NDANI YA SIKU MBILI

by ALFRED MTEWELE
Jan 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In