ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 26, 2023
in HABARI
0
Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022
0
SHARES
23
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Feb 3, 2023

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MIL. 24 KWAAJILI YA SHULE YA MAJI MATITU NA CHARAMBE

Jan 24, 2023

Benki ya NMB Yatoa Vitanda 20 na Mabenchi 20 Kurahisisha Utoaji Huduma za Afya Kituo cha Mkonoo na Levolosi

Jan 23, 2023
Load More

May be an image of 3 people and people standingAfisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akiwasilisha taarifa ya fedha ya mwaka 2022, amewashukuru wateja na wadau wote kwa kuwa sehemu ya mafanikio ya benki hio.

ADVERTISEMENT
Bi. Ruth ameweka bayana kuwa 2022 umekuwa mwaka ulioweka historia kwa benki hio, na hii ni kupitia ushirikiano mzuri kati benki ya NMB na wadau wake.
Kati ya mengi, imeweza:
✅ Kupata faida baada ya kodi ya shilingi Bilioni 429, ikiwa ni ongezeko la 47% kulinganisha na mwaka 2021.
✅ Kwa mara ya kwanza katika miaka 25 ya historia ya NMB, mapato ya jumla yalivuka shilingi trilioni moja baada ya kufikia shilingi trilioni 1.2, ongezeko la 23%.
✅ Jumla ya mali za benki zilivuka kiasi cha shilingi trilioni 10 na kufikia shilingi trilioni 10.25, ikiwa ni ukuaji wa kasi wa mizania wa 18% kwa mwaka.
✅ Tuliendeleza ajenda ya ujumuishaji kifedha tukiwa na akaunti za benki zaidi ya milioni sita, hii ni idadi kubwa zaidi ya wateja kwa taasisi moja ya fedha nchini.
May be an image of 7 people, people standing, suit, indoor and text that says 'NMB Tunajiyunia Kuwa Chachu Katika Ustawi Tanzania NMB NMB Tunajivunia Kuwa Chachu Katika Ustawi wa Tanzania NMB 土 NMB AachuKatika waTanzania NM NA'
May be an image of 2 people, people standing and indoor
May be an image of 6 people, people standing, suit and indoor
ADVERTISEMENT

Related

Tags: NMB BANK
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In