ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Benki ya NMB yakabizi Hundi ya Mil. 30 kwa Mshindi wa Kwanza

Zanzibar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 16, 2023
in HABARI
0
Benki ya NMB yakabizi Hundi ya Mil. 30 kwa Mshindi wa Kwanza
0
SHARES
15
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

May be an image of 5 people and people standingAfisa Mkuu wa Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali Benki ya NMB – Kwame Makundi alimkabidhi mshindi wa kwanza katika michuano ya kombe la Mapinduzi Timu ya Mlandenge FC kutoka Zanzibar hundi ya sh. Mil 30 kama sehemu ya udhamini wake katika michuano hiyo.

Benki hio ikiwa inaunga mkono michuano ya Mapinduzi (Mapinduzi Cup), baada ya mechi ya finali iliyochezwa januari 13,2023 kati ya Mlandege na Singida Big Stars mbele ya Rais wa Zanzibar – Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ashuhudia tukio zima la kukabidhi hundi hio.

RelatedPosts

Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022

Benki ya NMB Yajivunia Mchango wa Wadau Kufikia Mafanikio Yake ya Mwaka 2022

Jan 26, 2023

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MIL. 24 KWAAJILI YA SHULE YA MAJI MATITU NA CHARAMBE

Jan 24, 2023

Benki ya NMB Yatoa Vitanda 20 na Mabenchi 20 Kurahisisha Utoaji Huduma za Afya Kituo cha Mkonoo na Levolosi

Jan 23, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Zaidi ya hilo benki imezipongeza timu zote zilizoshiriki na kuendeleza ushirikiano na serikali ili kusaidia kukuza michezo nchini.

ADVERTISEMENT

 

Related

Tags: NMB BANK
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI
HABARI

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
HABARI

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

by I am Krantz
Jan 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI
HABARI

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI  MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA
HABARI

WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In