ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Benki ya NMB Yasaini Makubaliano Kuiboresha Forodhani

Zanzibar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 20, 2023
in BIASHARA
0
Benki ya NMB Yasaini Makubaliano Kuiboresha Forodhani
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

Zanzibar Hutegemea Pato lake kwa Asilimia 29.2% Kutokea Sekta ya Utalii

Zanzibar Hutegemea Pato lake kwa Asilimia 29.2% Kutokea Sekta ya Utalii

Nov 29, 2022

Benki ya NMB Yaandaa Warsha ya Wakandarasi Zanzibar

Nov 16, 2022

Dk. Mwinyi Asisitiza Uelimishaji Kuhusu Uchumi wa Bluu

Nov 15, 2022
Load More
ADVERTISEMENT

May be an image of 9 people, people sitting and people standingKwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi Mji Mkongwe, chini ya usimamizi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Benki ya NMB imeingia makubaliano ya kuiboresha bustani ya Forodhani kwa:

✅ Kuhakikisha uwepo wa huduma na suluhishi za kifedha, elimu za kifedha na mikopo kwa wafanyabiashara wa Forodhani.
✅ Kuweka maeneo maalum ya polisi, kubadilishia nguo wapiga mbizi na NMB Wakala.
✅ Kuboresha maeneo ya kupiga mbizi Forodhani, na kutoa maboya kwa wapigambizi kwa ajili ya usalama wao.
✅ Kuboresha taa zilizopo eneo la Forodhani
Makubaliano hayo yametiwa saini na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi Mji Mkongwe, Eng. Ali Said na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB – Filbert Mponzi huku wakishuhudiwa na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mhe. Simai Mohamed Said na viongozi wengine.
#NMBKaribuYako
May be an image of 1 person and text that says 'MHUMM Mamlaka ya Hifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe kwa kushirikiana na Benki ya NMB inaima BUSTANI YA hari Maridhawa Chach ODHANI Uchumi End'
May be an image of 1 person, standing and text that says 'POURLE MHUMM NMB' Karibu yako ka ya Hifadhi na Uendelezaji Maongwe ngwe kwa kushirikiana na Benki ya inaimarish BUSTANI YA FO aridhawa Chachu ya'
May be an image of 4 people, people standing, people sitting and outdoors
ADVERTISEMENT

Related

Tags: ZANZIBAR
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA CEMENT UJENZI WA KITUO CHA POLISI KIBURUGWA
BIASHARA

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA CEMENT UJENZI WA KITUO CHA POLISI KIBURUGWA

by Ally Hamis Zingizi
Jan 27, 2023
TANZANIA COMMERCIAL BANK YAIPIGA JEKI SEKTA YA ELIMU YATOA MSAADA WA MIFUKO 150 YA CEMENT KUBORESHA MADARASA
BIASHARA

TANZANIA COMMERCIAL BANK YAIPIGA JEKI SEKTA YA ELIMU YATOA MSAADA WA MIFUKO 150 YA CEMENT KUBORESHA MADARASA

by Ally Hamis Zingizi
Jan 27, 2023
TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA SARUJI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI YA KATA YA GOWEKO
BIASHARA

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA SARUJI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI YA KATA YA GOWEKO

by Ally Hamis Zingizi
Jan 27, 2023
Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’
BIASHARA

Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’

by ALFRED MTEWELE
Jan 27, 2023
TIGO YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA DROO KUBWA YA WAKISHUA
BIASHARA

TIGO YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA DROO KUBWA YA WAKISHUA

by ALFRED MTEWELE
Jan 26, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In