Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es salaam Bw. Donatus Richard amekabidhi samani za ofisi (kabati, mabenchi na viti) kwa kituo cha polisi Kigamboni katika kusaidia uboreshaji wa utoaji huduma kwa jamii.
ADVERTISEMENT
Benki hio ikiwa katika kuendeleza utamaduni wake wa kuipa Nguvu Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani imefanya hafla ya Ukabidhiano wa Samani hizo mapema hii leo.
Vifaa hivi vimepokelewa mapema leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam – ACP Jumanne Muliro.
ADVERTISEMENT