Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga Halima Bulembo, ambaye amehamishiwa Kigamboni, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanachangia chakula shuleni ili watoto wao waweze kupata chakula pindi wawapo shuleni.
Jitihada hizo zimefanywa ili kuweza kuunga mkono ilani ya maendeleo ya Taifa kwa umma kwa utoaji wa lishe bora itakayosaidia kumjenga mtoto kiutimamu wa akili na mwili ili aweze fanya vizurikatika masomo yake.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT