ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

DC JOKATE ATARAJIA MAKUBWA KUKAMILIKA NJIA ZA UCHUKUZI

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 17, 2023
in HABARI
0
DC JOKATE ATARAJIA MAKUBWA KUKAMILIKA NJIA ZA UCHUKUZI
0
SHARES
26
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

ImageMkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo atarajia mazuri zaidi juu kukamilika kwa haraka kwa miradi ya ujenzi wa njia za uchukuzi nchini hususani miradi iliyopo chini  ya Usimamizi wake katika wilaya hiyo ambayo itasaidia watumiaji wa barabara hizo kuondokewa na kero ya foleni zisizokuwa na tija.

DC Jokate @jokateM amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akisema….. “Ndugu zangu wa Mbagala; Nzasa-Kilungule mpaka Buza tujuane tafadhali,  Hatua ya Mkeka wenu unaokwenda kupunguza foleni ya Kilwa Road. Wenzangu wa Mbande- Chamazi short cut ya kwenda mjini!! Daraja linakamilika namna hiyo”.

RelatedPosts

No Content Available
Load More

Miradi hio ya barabara imepewa kipaumbele ili kutekeleza ilami ya Serikali iliyopo madarakani katika kuhakikisha inakamilika kwa wakati ili shughuli za kijamii zifanyike bila kikwazo kwa kipindi inapogusia sekta ya Uchukuzi.Image

ADVERTISEMENT

Image

 

ADVERTISEMENT

Related

Tags: WILAYA YA TEMEKE
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In