Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, amekabidhiwa ofisi rasmi na Gavana Mstaafu, Prof. Florens Luoga leo jijini Dodoma. Tukio hilo limeshuhudiwa na Naibu Gavana, Utawala na Udhibiti wa Ndani, Bw. Julian Banzi Raphael (kushoto) pamoja na Naibu Gavana, Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Bi. Sauda Kassim Msemo (kulia).
ADVERTISEMENT