ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

GUMZO: MTOTO ADAIWA KUNYONYA MAZIWA YA MAMA YAKE MAREHEMU BILA KUJUA

Manyara

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Jan 19, 2023
in HABARI
0
GUMZO: MTOTO ADAIWA KUNYONYA MAZIWA YA MAMA YAKE MAREHEMU BILA KUJUA
0
SHARES
29
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mtoto mmoja huko wilayani Babati, mkoa wa Manyara ameripotiwa kukutwa akiwa juu ya mwili wa marehemu mama yake  akinyonya maziwa bila kujua.

Hiyo ni baada ya kutokea kwa mauaji ya Mama wa mtoto huyo kwasababu kupitia shuhuda za waliweza ona tukio hilo kwa ukaribu wanaripoti kuwa  mwili wa marehemu ulionyesha kujeruhiwa sana hadi kufikia kupelekea kupoteza maisha .

RelatedPosts

SERIKALI YAJA  NA MBINU MBADALA  KUPAMBANA NA UKATILI

SERIKALI YAJA NA MBINU MBADALA KUPAMBANA NA UKATILI

Jan 26, 2023

SERIKALI YAFUTA MASHIRIKA 4898 YASIYO YA KISERIKALI

Jan 26, 2023

KATEKISTA ADAIWA KUBAKA MWANAFUNZI

Jan 24, 2023
Load More

Marehemu ameacha familia yenye jumla ya watoto watano ambapo mkubwa wao kabisa ana umri wa miaka 7.

Hali hiyo imeweza kujenga sintofahamu na kuchukuliwa kama laana kubwa na majirani hasa wazee walipewa taarifa na kufika sehemu ya makazi yalipo kushuhudia tukio hilo ambalo moja kwa moja mume wa marehemu huyo akishutumiwa kuwa ndiye atakuwa muhusika wa mauaji hayo.

ADVERTISEMENT

 

ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI
HABARI

WIZARA YA AFYA YATOA FURSA KWA RAIA 12 KUSIMAMIA MIRADI

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
HABARI

NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’

by I am Krantz
Jan 30, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Januari 30,2023

by ALFRED MTEWELE
Jan 30, 2023
WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI
HABARI

WATU WENGI WALIJUA NITAVAA RANGI YA KINYOKA NYOKA – MANZOKI

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU
HABARI

SIMBA KUSHINDA UBINGWA MSIMU HUU

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI  MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA
HABARI

WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MTANDAONI MWANAFUNZI WA CHUO CHA CDTI WAKAMATWA

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In