ADVERTISEMENT
Klabu ya Chelsea imekamilisha usajili wa mlinzi wa kulia Malo Gusto kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 31 kutoka Olympique Lyon.
–
Gusto (19) raia wa Ufaransa amesaini mkataba wa kuitumikia miamba hiyo ya Stamford Bridge mpaka Juni 2030 lakini anarejea Lyon kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu.
ADVERTISEMENT