Ilikuwa siku kadhaa hapo nyuma Mwanamitindo na Msanii wa Muziki Lola Mziwanda alijitoa kwaajili ya kuwania nafasi ya kuiwakilisha nchi ya Tanzania katika Mashindano ya Miss Africa Golden Tourism 2022 yaliyokuwa yakifanyika nchini Nigeria.
Kinyanganyilo hicho kilimfanya Lola aombe ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wananchi wa Tanzania kumpigia kula za kutosha ili aweze rejesha ushindi huo nyumbani.
Hivi karibuni ametangazwa kuwa ni mshindi wa Kinyanganyilo hicho akiwa kama mwakilishi pekee kutokea kuiwakilisha nchi ya Tanzania.
ADVERTISEMENT