Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Mh Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi mpya za Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Wilaya kadhaa hapo jana.
Taarifa ya uthibitisho huo imetolewa kupitia ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Chamwino, Dodoma.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT