ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
in HABARI
0
MTOTO WA SHILOLE APATA DIVISION 1 KIDATO CHA NNE
0
SHARES
65
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More

 

Mtoto wa pili wa Shilole apata division 1 ya point 15 matokeo ya mitihani ya kidato cha 4 kitaifa yaliyotangazwa leo, alikuwa akisoma St.Christina

 

 

–

 

 

 

Shilole ambaye yeye binafsi hakuwahi kufika hata kidato cha nne sababu ya kukumbana na changamoto za kimaisha katika umri mdogo, amejitosa kusherehekea mwanae kufaulu vizuri kwa kupost picha hiyo kisha kuandika kwa hisia..

 

 

 

–

 

 

ADVERTISEMENT

 

“Labda kwa walio zoea wanaweza ona kawaida. Lakini kwangu mimi Shilole ambae sikufikia elimu ya namna hii na kama mama ambae napambana kuwapa wanangu elimu bora ili wao wafike mbali na wapate maisha mazuri ambayo mm sikupata, BASI HII KWANGU NI KUBWA MNOOOO😭😭

 

ADVERTISEMENT

 

–

 

 

Binti yangu wa pili Rahma amenifurahisha mwenzenu matokeo yake ya kidato cha nne kanipigia Div ONE yake saafi. Asante mwanangu😭😭😭 mama yenu nawapambania na mnanipa moyo mnoo na mnanitoa machozi ya furaha sana. Mungu nakushukuru sana kwa hili🙏

 

 

 

–

 

 

Asante uongozi wa shule ya St. Christina kwa ushirikuano na juhudi zenu. Rahma tulikubaliana hakuna simu mpk umalize form 4 tena ufaulu😀. Sasa naona umeipambania zawadi yako mwanangu sina budi kujitahid kutimiza ahadi yangu , Bilnass jiandae Leo nina furaha sana Alhambdulillah😭🙏” ameandika Shilole

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In