ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MZEE WA MIAKA 71 AFIA LODGE AKIWA NA BINTI WA MIAKA 22

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jan 27, 2023
in HABARI
0
MZEE WA MIAKA 71 AFIA LODGE AKIWA NA BINTI WA MIAKA 22
0
SHARES
102
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Polisi wanachunguza kisa ambapo mwanamume mmoja wa miaka 71 ambaye ameaga dunia kwenye lojingi akiwa na binti wa umri wa miaka 22 mtaani Parklands, jijini Nairobi.

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More

 

 

 

–

 

Mwanamke huyo aliambia polisi kuwa walikodi chumba kwenye lojingi hiyo na muda mfupi baadaye mwanamume huyo alianza kuhema akitaka hewa. Alianza kulalamikia maumivu ya kifua na mgongo kabla ya mikono na miguu yake kufa ganzi.

 

 

–

 

 

Mwanamke huyo alikimbia nje ya jengo kutoka ghorofa ya tatu na kuomba dereva wa taxi aliyekuwa kwenye lango kumsaidia kuokoa uhai.

 

 

–

 

 

ADVERTISEMENT

Dereva huyo alitumia gari la mwendazake kumpeleka katika hospali ya karibu – Aga Khan – ambako alisemekana kuwa ameaga dunia.

 

 

 

–

 

 

Maafisa wa polisi waliitwa eneo la tukio na kunakili kisa hicho kabla ya mwili kupelekwa katika makafani. Polisi walibaini kuwa wawili hao walienda kwenye chumba hicho Alhamisi mwendo wa saa kumi alasiri na mwendazake alianza kulalamika kuhusu maumivu saa mbili baadaye.

 

ADVERTISEMENT

 

–

 

 

Polisi wanasema kuwa wanachunguza kisa hicho. Visa hivyo vimekithiri katika lojingi za jijini na vingi ripoti za upasuaji zinasema kuwa vinatokana na mshutuko wa moyo, polisi wamesema.

 

 

 

–

 

 

Via: Tuko News

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In