Waziri wa Habari, Mawasiliano na Technolojia ya Habari @Nnauye_Nape, ameiagiza mamlaka ya usafirishaji kwa njia ya mtandao na vifurushi kuhakikisha Tanzania inakuwa kitovu cha biashara ya mtandao kwa nchi za Afrika Mashariki na SADC kupitia uanzishwaji wa Logistic Park
ADVERTISEMENT
Maagizo hayo yametolewa ili Nchi iweze kwendana na kasi ya Ukuwaji wa Teknolojia kwa upande wa kukuza biashara na uchumi kupitia pato lake.
ADVERTISEMENT