ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, April 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Jan 27, 2023
in . DODOMA, BURUDANI, HABARI
0
NDOA YA DK MWAKA HAIJAVUNJIKA , UAMUZI ULIKUWA BATILI
0
SHARES
62
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

Apr 2, 2023

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

Apr 2, 2023

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

Apr 2, 2023
Load More
Baraza la Ulamaa limetengua uamuzi wa Kamati ya Masheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam iliyovunja ndoa ya Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe, Queen Masanja ikieleza uamuzi huo ni batili.
–
Taarifa iliyotolewa na baraza hilo ilisema, “Baraza la Ulamaa leo tarehe 27/01/2023 limekutana kwa dharura kwa ajili ya masuala mbalimbali na miongoni mwa masuala hayo ni kadhia iliyotokea hivi karibuni katika Ofisi ya Qadhi ya Mkoa wa Dar es Salaam. Kadhia ambayo inamuhusu Dk Mwaka na mkewe Queen.”
–
“Ndoa ya bwana Juma Mwaka Juma ‘Dr Mwaka’ na Mkewe Bi Qeenie Oscar Masanja haijavunjika na kwa hivyo kwa kuwa kuna malalamiko yaliyopelekwa katika Ofisi yo Qadhi, malalamiko hayo au kesi hiyo iendelee katika ofisi ya Qadhi na Baraza la Ulamaa linafuatilia kwa karibu juu ya namna shauri hilo na mengine yanayoendelea kwa ajili ya kuchunga nidhamu katika Baraza.”
–
Ndoa hiyo ya , Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja ilivunjwa Jumatano, Januari 25, 2023. Kikao cha Kamati ya Masheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam chini ya uenyekiti wa Sheikh wa Mkoa, Alhadi Mussa Salum kiliketi kwa dharura na kuridhia maombi ya Queen kutaka apewe talaka.

 

ADVERTISEMENT

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO
HABARI

EX MSUMBUFU KUFUNGWA JELA MIAKA MITANO

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI
HABARI

CAMERA ILIYOPOTEA MIAKA 13 YAPATIKANA KWENYE MATOPE PICHA BADO ZIPO VIZURI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI
HABARI

AFUKUA MAITI YA MAMA YAKE NA KUKAA NAYO NDANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE
HABARI

MUUGUZI AFARIKI AKIJIFANYIA HUDUMA MWENYEWE

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI
HABARI

CHINA NA BRAZIL ZAIKATAA DOLA YA MAREKANI

by Shabani Rapwi
Apr 2, 2023
YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In